Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa anatangaza kuwa Mahafali ya 5 ya SEKOMU yatafanyika tarehe 18 Novemba, 2017. Tarehe 17 Novemba, ni siku ya Conocation. 

Na baada ya hapo tarehe 19 Novemba, 2017 kushiriki kwenye ibada, ya pili, ya shukrani itakazo fanyika katika Kanisa La Injili La Kitheri Cathedral, Lushoto.

Mnakaribishwa wote.

SEKOMU Admission to March/April Intake for the Academic Year 2018/2019 to be OPEN SOON!     Ok Got It!